Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Muhimu wasitufunge mapemaTuwape mda wauzoee mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhimu wasitufunge mapemaTuwape mda wauzoee mkuu
Hahahahahah tuna safari ndefu sana kama taifaKama alivosaidiaa mchezaji wao kupiga hewa ..ingekuwa simba na yanga ungesikia uchawii
Nimecheka sana hapo kwa Ben MendyKocha kaweka mabeki wengi akidhani kuwa wana kariba ya Benjamin mendy au kyle walker kwamba wapande watoe krosi then warudi kwa kasi. Hii aliyoiweka humu mizito sana. Na goli watakalotufunga lesotho asilimia kubwa itakuwa ni counter
Abdallah kheri beki wa Azam FCHivi ndo nani huyu?
Mudathir kashikwa vibaya sana timu imepoteana kati hakuna balance
Wachezajii wameshindwa kuadapt uwanja manacheza tu makidaaa
Yap kati pamepwaya sana..Mudathir kashikwa vibaya sana timu imepoteana kati hakuna balance
Kwanini mkuuNimecheka sana hapo kwa Ben Mendy
Ila huu uwanja nao k aisee
Mmmhhhh na hili nalo neno.. ila bado sana..Nchi ina watu milioni 55 tunakosa watu 11 tu wa kuwafunga Lesotho?
Kama tutashinda basi itakuwa miujiza ya Mungu alie mbiguni kati kati kumekufa kabisaTunashambuliwa sana timu mbovu
Nchi ina watu milioni 55 tunakosa watu 11 tu wa kuwafunga Lesotho?
Hahahahahah tuna safari ndefu sana kama taifa
Mkuu jina lako hahahaKikosi gani hichi...... Katikati hakuna kitu kabsa