Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 564
Na bwana yule kasema nae leo atakuwa anaangalia hii mechi live,sijui kama tutashinda?Hii timu toka aingilie bwana yule nilikosa imani nayo kabisa.
Shukran mkuu.angalia hapa online
Lesotho vs Tanzania - HesGoal.COM Sports News
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu jina lako hahaha
Usichekee na wakifungwaa wapitiee mtwara wabangue korosho make mtonyo wa mkulu najua washaumalizaa
Halafu Gadiel wa nini maana mpaka sasa hakuna alichofanya.
HahahUsichekee na wakifungwaa wapitiee mtwara wabangue korosho make mtonyo wa mkulu najua washaumalizaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji124][emoji124][emoji124]Kikosi cha kipuuzi kweli kiungo hakuna kabisa.
Anamuanzishaje Mkude benchi ?
Ningekuwa mimi ndo mkulu, ningewashusha pale Lugalo wasalimiane na wajeda kwa wiki 2 tu then waende kwa wake zao kusimulia
Sebo na Sonso wanacheza timu gani?
Ankoo usichekeeeeHahah
Hyo hata pale yanga tumemchoka
Naomba mungu wasizitapikeNchi ina watu milioni 55 tunakosa watu 11 tu wa kuwafunga Lesotho?
Nice try himid
Huwatakiii memaa wewee