Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Manka naomba ya baridi sana maana hawa stars leo afu uje na tishu..
 
Manula kama kawaida yake na technique zake za kijinga kupoteza muda. We need to be serious draw wanaona sawa ila kwa sisi watanzania ni kama mkosi hawajui hawa wapuuzi
 
Tumekoswa mbili za wazi kabisa hakika mungu yupo upande wetu
 
Hapo nje kuna Fei Toto, Mkude, Kichuya toa takataka kama Gadiel,Aggrey Morris, Ally mtoni na Sebo.
 
Yani eti kapombe kamuacha nje kocha paka kabisaaa
Yaaan kajazaa mabekiii tena hawanyumbulikiiiii ...

Weka kichuyaaa bakizaa mzito mmoja ...

Kapombeeeee dadeeekiiiii tungekuwa tunaongeaa mengineee kwa sasa
 
Watatufunga hawa, naona mushuti yanapigwa kwetu tu, tena kwenye target
 
Back
Top Bottom