Wee muachee ataongozaa kikosii uelekeoo ntwaraaaaa akabanguee koroshoHuyu kocha ana lake timu gani kapanga hii
Mkuu kocha anatia hasira sana. Yani tukifungwa hapa ndio basi tena
Tuombe uzima maana tulichokuwa tunakisubiri kifike sasa tunaomba kipite..Kosa ya tatu itakua ni goli
Ni kweli kabisa ina watu Milioni 55 lakini ni watu wa kuunga jitihada za mheshimiwa sio kwenye KandandaNchi ina watu milioni 55 tunakosa watu 11 tu wa kuwafunga Lesotho?
Hahahahahaa mzee atawaandaliaaa speech ...Ni kweli anko,,ulichosema ni sahh kabsa,chek kama hv mkulu katweet
View attachment 938608
Uko siliasiii kumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haswaaa! na itakuwa mfano kwa vizazi na mizizi
Yaaan kajazaa mabekiii tena hawanyumbulikiiiii ...
Weka kichuyaaa bakizaa mzito mmoja ...
Kapombeeeee dadeeekiiiii tungekuwa tunaongeaa mengineee kwa sasa
Tuna kocha mpuuziHapo nje kuna Fei Toto, Mkude, Kichuya toa takataka kama Gadiel,Aggrey Morris, Ally mtoni na Sebo.
Naungaaa mkonyooo ojaaaaZile milioni hamsini zitahusika leo, wakifungwa ngoma Mtwara kubangua korosho tu.