Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Hawa ndio wanataka kututilia kitumbua mchanga leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka 2008 ilikuwa Burkinafaso...enzi za MaximoTujiulize mara ya mwisho tz kushinda ugenini ni lini?
Akishinda atasifiwa kweli..Amunike anafaa kuwa kondakta wa magari ya Mbagala-Charambe, mpira hajui.
Tulia lazima mpigwe nyie mnajua muziki na siasa uchwara tuu huko kwenu sisi huku tushafunga Zambia 1Ndio wewe msumbiji endelea kutokujua
Tulia lazima mpigwe nyie mnajua muziki na siasa uchwara tuu huko kwenu sisi huku tushafunga Zambia 1
Achen ujuaj Kwanzaa nyie ni kocha??Mudathir ni defence midfielder, himid Mao ni defence midfielder unategemea timu ipande mbele ? Nyoni akicheza midfield huwa mzito sana heli acheze pembeni kushoto.
Miaka 10 ,, hahàh hahahahMwaka 2008 ilikuwa Burkinafaso...enzi za Maximo
tuseme wafeli kwenye kuanzisha mashambulizi hata kukaba nayo iwe kazi wakati wao ni defense mindedMudathir ni defence midfielder, himid Mao ni defence midfielder unategemea timu ipande mbele ? Nyoni akicheza midfield huwa mzito sana heli acheze pembeni kushoto.
Haaaaaaaaa fwalaaa haaaa Sweetiee umetishaa
bora Tanesco kuliko amonikeWapuuzi Tanesco wamekata umeme [emoji41][emoji41]
Naona kocha anafanya majaribio ya kikosi haaaaa maana wengi wamefelii mapema