Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Mudathir ni defence midfielder, himid Mao ni defence midfielder unategemea timu ipande mbele ? Nyoni akicheza midfield huwa mzito sana heli acheze pembeni kushoto.
Achen ujuaj Kwanzaa nyie ni kocha??
 
Mudathir ni defence midfielder, himid Mao ni defence midfielder unategemea timu ipande mbele ? Nyoni akicheza midfield huwa mzito sana heli acheze pembeni kushoto.
tuseme wafeli kwenye kuanzisha mashambulizi hata kukaba nayo iwe kazi wakati wao ni defense minded

binafsi naona waingie na approach mpya ya kukaa na mpira na na kupiga pasi fupi fupi

Mkude, Kichuya IN
Mudathir na huyu dogo left back OUT
 
Toa mudathri weka fei toto, toa bek 3 weka kichuya gadiel arudi 3.. toa mao mkami weka bocco .chilunda apande juu.
Tunashinda.
 
Hawa jamaa wanalegea na kuvuta miguu , Naomba Wasiposhinda Wakirudi Wakabangue Korosho maana watakua wameshindwa kulitetea taifa uwanjani Basi wakalitetee taifa kwenye ubanguaji wa korosho.
 
Hii kambi ya South walienda kufanya NN yaani
[emoji51][emoji51]
 
Reactions: Lee
Duh! Aiseee hii timu yetu kama gari la shamba Trip moja gereji trip nyingine shamba......kocha naye sijui hana kikosi maalumu huyu mweee......tunapeana presha tu
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…