Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Lesotho wanaingiza wachezaji wawili kwa mpigo!

Hii si dalili nzuri.
 
Tena ukiniudhi ndiyo nitaiachia sasa hii ' Hirizi ' nilioishika hapa inaotusaidia tusifungwe ili tufungwe sasa rasmi ukasirike zaidi.
Achia kweendraa huko nyie mnajifanya wajuaj tuu Tafadhali usiniudhi hapa nlipo
 
Kituuuuuuuuuuu
 
Kumbe tulishashinda banaaa...

Mapema sana Mkuu na kile Kikosi nilichokiweka hapa jana ndicho ambacho ' Kinyota ' kingeturahishia hii mechi kuliko tunavyohangaika sasa. Wawe wanasikia pia na mawazio yetu kwani hii mipira hasa ya Kiafrika ina ' tamaduni ' zake za mila na desturi.
 
Kiukweli vijana wanaonekana wapo kwenye changamoto kubwa kiasi wanakosa umakini katika kucheza kwao kwa hali hii inaonyesha matokeo ni sare ti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…