Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vumilia tu, usifanye kama yule dereva wa basi kule ChinaTena ukiniudhi ndiyo nitaiachia sasa hii ' Hirizi ' nilioishika hapa inaotusaidia tusifungwe ili tufungwe sasa rasmi ukasirike zaidi.
Achia kweendraa huko nyie mnajifanya wajuaj tuu Tafadhali usiniudhi hapa nlipo
Unampa nan huu ushaur sasa?Toa Chilunda Toa Mudathir
Ingiza Bocco na Kichuya
Amunike aondoke... HatumtakiWadau mi nashauri hats kama tutafuzu huu mtihani amunike tumtupie virago mi sijaona bado nini anatakiwa akifanye kwa timu yetu pendwa ya taifa. Match ya Leo ilikuwa ya kwetu kabisaaa. Hawa jamaa ni wepesi mno. Match kama hii tia pale mbele akina boko na kichuya. Then kati mkude mbona tungeshanza kucheka kitambo!!!!