Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Achia kweendraa huko nyie mnajifanya wajuaj tuu Tafadhali usiniudhi hapa nlipo

matatizo yako ya Kimaisha usiyahamishie Kwangu tafadhali sawa? Sasa nimeshaitupa ' Hirizi ' tuone kama utashinda na unaenda Kufungwa muda si mrefu ndipo utanikumbuka. Ushindi wa Taifa Stars hapo ni kutoka ' Sare ' tu ila tayari ' Miiko ' ya ' Mtaalam ' wangu ilishakosewa mapema mno hasa katika upangaji wa Kikosi cha leo.
 
Wadau mi nashauri hats kama tutafuzu huu mtihani amunike tumtupie virago mi sijaona bado nini anatakiwa akifanye kwa timu yetu pendwa ya taifa. Match ya Leo ilikuwa ya kwetu kabisaaa. Hawa jamaa ni wepesi mno. Match kama hii tia pale mbele akina boko na kichuya. Then kati mkude mbona tungeshanza kucheka kitambo!!!!
Amunike aondoke... Hatumtaki
 
Yaani Hata Gori Limeingikia Kindezi Kweli Kweli
 
Tumefungwa!

Kwanini kipa anapangua kama acheza volleyball?

Si angepangulia mbali huko?

Watu wengine wanashangaza sana matendo yao.
 
Back
Top Bottom