Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kuanzia leo sidhani kama nitaangalia mechi zozote za tanzania iwe za kimataifa au za ligi,,, OVER
 
Tuache maneno mengi, wachezaji wenyewe hata kumiliki mpira hawawezi
 
Kusema kweli sina tusi bays hapa la kuwatukana stars naona yote mazuri mazuri tu Ngoja niache tu.
 
Aliyesema kichwa cha mwenda wazimu had atengue kauli kwa nia.
 
Mpira kabumbu sio fani yetu waTZ. Hata tukimleta Maurizio Sarri au Pep Guardiola na kutegemea atuletee mafanikio kupitia hawa wazee waliojifunza mpira in their late 20s, ni sawa na kwenda ferry kusubiri drimulaina itue. Let’s all get this obvious fact into our heads and move on.
 
Yaani anafanya mabadilko sasa bado dk 7 zimebaki? Huyo kocha ametuumiza kweli
 
Mwenye ubao unaoonesha standing, atupie hapa
Hiyo
Screenshot_20181118-184355.jpg
 
Back
Top Bottom