1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Million 50 za mkuu haziendi bure.. Korosho inawahusu ..[emoji16][emoji16]
Mhhhh tusubiri hizo dk sitaEti Bocco yaani kutocheza hiyo game moja tu ndio tumekosa ushindi ? Chezaji limekakaamaa kama mlingoti ndio haohao tu hakuna kitu
Tayari mkuu
Sio huu mkuu.
HiyoMwenye ubao unaoonesha standing, atupie hapa
Na watazitema tu. Hakuna namna.Nawaonea huruma jinsi watakavyozitema milioni hamsini za Korosho...[emoji22][emoji22][emoji22]
Kuanzia leo sidhani kama nitaangalia mechi zozote za tanzania iwe za kimataifa au za ligi,,, OVER
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Haha kikosi chenyewe tu ni 1-0 mpaka sasa.
Kwa nnTigo Fiesta leo Dodoma imeshaingia doa.