Amina mkuu. Tanzania mbeleMungu leo yuko upande wetu lazima tushinde.
Nitumie namba ya simu, kama leo Tz tutashinda nakutumia tenKwahiyo mpira unaamuliwa kwa ubashiri huo? Basi tungewaweka mbao fc ile mechi ya marudio tuone. Tuwatakie kheri wenzetu tuache maneno maneno kwasasa.
Ebu leo tujaribuni kuficha unegative wetu ktk kila kitu. Tuisapoti timu ishinde.Unawekeza kwa wazee waliobalehe unategemea ushindi
Tengenezeni Timu za watoto, mafanikio yatapatikana tu wewe ukiwa umezeeka
Tatizo mnataka mambo ya haraka muonekane mmefanikiwa kwenye kipindi cha uongozi wenu, Ulaya haipo hiyo
Wanajadili uchumi Wa miaka 100 ijayo hawaogopi atasifiwa nani
Bongo Kila Mtu ataka sifa haraka
Leo kikubwa vijana wetu wapambane, lesotho anafungika kwao. Tuko pamoja nao.Wakuu,
Leo Tanzania inaweza kuingia kwenye historia muhimu sana kwenye ulimwengu wa michezo. Tunatakiwa kuishinda Lesotho kwa namna yeyote ili tuweze kushiriki michuano mikubwa kabisa barani Africa ambayo tulishiriki Zaidi ya miaka 38 iliyopita.
Watanzania wote tusimamishe kila kitu na kuonesha kila namna ya kuiunga mkono timu yetu ya Taifa. Masaa haya machache tuchafue mitandao ya kijamii na mitaani kuonesha mshikamano wetu nyakati muhimu kama hizi.
Hii mechi ya leo si ya kawaida bali ni vita ambayo tukishindwa ni taifa limeshindwa na tukishinda ni taifa limeshinda. Heshima ya ushindi wa leo itaiweka nchi kwenye ramani kubwa Zaidi kimichezo na Zaidi itabadili uelekeo wa michezo na hasa nafasi ya wachezaji wetu kupata fursa Zaidi kwenye Nyanja za kimataifa.
Kila lakheri timu ya taifa ya Tanzania, nendeni mkapiganie nchi kwa nguvu zenu zote. Wanajeshi wetu wengi wamemwaga damu zao kuipigania heshima ya taifa letu na nyie mtambue mnawajibu sawa na huo kwaajili ya Tanzania.
Taifa zima leo limeweka matumaini yote mikononi mwenu, kaipiganieni Tanzania na mlete heshima ambayo vizazi vyote vitawakumbuka kuwa nyie ndio mliorudisha heshima ya nchi baada ya miaka 38 kushindwa kushiriki michuano hii mikubwa.
"We will stand and fight here. If we can't stay here alive, then let us stay here dead." General Sir Bernard Montgomery
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Taifa Stars ….
Kabisa mkuu. Nchi itakuja kuvamiwa siku moja alafu badala ya kuhamasishana kuilinda tunaanza vijembe. Siku kama hizi tusahau tofauti zetu.Ebu leo tujaribuni kuficha unegative wetu ktk kila kitu. Tuisapoti timu ishinde.
Ni kweliMbona mpaka sasa mshindi anafahamika, ujue unashangaza sana mkuu, mi nakupa ukweli daima,
Najua mtaniita sio mzalendo,
Sisi tut ashiriki hayo mashindano kupitia kwa diamond platnumz.
Hayupo lakini tutasimama na tulionao.Samatta yumo?? Kwa sasa ndio mtu pekee mwenye uweza wa kubadili matokeo kwa stars.
Mpira ni mbinu/mikakati.Ebu leo tujaribuni kuficha unegative wetu ktk kila kitu. Tuisapoti timu ishinde.
Haya maneno baada ya Mchezo huwa yanabadilika na Sifa anapewa Mh.Jiwe ila ikishindwa lawama kwa Wachezaji.Hii mechi ya leo si ya kawaida bali ni vita ambayo tukishindwa ni taifa limeshindwa na tukishinda ni taifa limeshinda. Heshima ya ushindi wa leo itaiweka nchi kwenye ramani kubwa Zaidi kimichezo na Zaidi itabadili uelekeo wa michezo na hasa nafasi ya wachezaji wetu kupata fursa Zaidi kwenye Nyanja za kimataifa.
Mtafungwa na hiyo AFCON mtaisikia kwenye bombaWakuu,
Leo Tanzania inaweza kuingia kwenye historia muhimu sana kwenye ulimwengu wa michezo. Tunatakiwa kuishinda Lesotho kwa namna yeyote ili tuweze kushiriki michuano mikubwa kabisa barani Africa ambayo tulishiriki Zaidi ya miaka 38 iliyopita.
Watanzania wote tusimamishe kila kitu na kuonesha kila namna ya kuiunga mkono timu yetu ya Taifa. Masaa haya machache tuchafue mitandao ya kijamii na mitaani kuonesha mshikamano wetu nyakati muhimu kama hizi.
Hii mechi ya leo si ya kawaida bali ni vita ambayo tukishindwa ni taifa limeshindwa na tukishinda ni taifa limeshinda. Heshima ya ushindi wa leo itaiweka nchi kwenye ramani kubwa Zaidi kimichezo na Zaidi itabadili uelekeo wa michezo na hasa nafasi ya wachezaji wetu kupata fursa Zaidi kwenye Nyanja za kimataifa.
Kila lakheri timu ya taifa ya Tanzania, nendeni mkapiganie nchi kwa nguvu zenu zote. Wanajeshi wetu wengi wamemwaga damu zao kuipigania heshima ya taifa letu na nyie mtambue mnawajibu sawa na huo kwaajili ya Tanzania.
Taifa zima leo limeweka matumaini yote mikononi mwenu, kaipiganieni Tanzania na mlete heshima ambayo vizazi vyote vitawakumbuka kuwa nyie ndio mliorudisha heshima ya nchi baada ya miaka 38 kushindwa kushiriki michuano hii mikubwa.
"We will stand and fight here. If we can't stay here alive, then let us stay here dead." General Sir Bernard Montgomery
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Taifa Stars ….
Whatever, issue ni ushindi. Mengine baada ya mechiHaya maneno baada ya Mchezo huwa yanabadilika na Sifa anapewa Mh.Jiwe ila ikishindwa lawama kwa Wachezaji.
Unawekeza kwa wazee waliobalehe unategemea ushindi
Tengenezeni Timu za watoto, mafanikio yatapatikana tu wewe ukiwa umezeeka
Tatizo mnataka mambo ya haraka muonekane mmefanikiwa kwenye kipindi cha uongozi wenu, Ulaya haipo hiyo
Wanajadili uchumi Wa miaka 100 ijayo hawaogopi atasifiwa nani
Bongo Kila Mtu ataka sifa haraka
Mkuu umuhimu ni ushindi. Akili zetu zote ziwe huko. Hayo mengine tutajadili baada ya mechi.
Leo mnapigwa tu,Mkuu hayo leo hayasaidii. Tujifunze kujua tuseme nini wakati gani. Lolote litakalotokea leo huko nje itakuwa ni sura ya Tanzania wala si TFF wala nani. Pamoja na mapungufu yote lakini tukishinda ni ushindi wa Tanzania.
Mbona mpaka sasa mshindi anafahamika, ujue unashangaza sana mkuu, mi nakupa ukweli daima,
Najua mtaniita sio mzalendo,
Sisi tut ashiriki hayo mashindano kupitia kwa diamond platnumz.
Siku muhimu kama hizi kwa nchi hili ni jukwaa sahihi. Hata redio za dini leo habari ni hii.