Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Mpira ni mbinu/mikakati.
Unafikiri kwa nini ukiitoa Uganda ktk kundi letu, sisi ndio tuna nafasi kubwa ya kuungana na uganda? Unadhani hizo mbinu na mikakati hazikuwapo?

Nijuacho hapa Tz kuna walesotho pia wanaishi hapa na wameshajua kuswahili na jf ni members.
 
Kwasababu JIWE alishaweka hapo mkono wake basi ingependeza zaidi kama stars ingepigwa. Na mimi nasema "Wapigwe"
 
Tanzania inagongwa

Na watapigwa tu maana hizo ndiyo dua za mamilioni ya watanzania
 
Hili taifa lina upinzan wa kipuuz huenda hakuna dunia nzima.Mtu anakuambia Mungu ibariki Lesotho, sababu za mcng utasikia oooh taifa stars ikishinda jiwe atapata sifa mara CCM watasema ni mafanikio yao.
 
nipo kwenye mtanziko kwenye hili
1.tukipita ccm wataongeza kwenye mafanikio ya jiwe
2.tukitolewa roho itaniuma
ila bora namba 1 itokee halafu tutapambana na ccm humu wakisema ni mafanikio yao
yes,siasa kila mahali😀😀
Dilemma inayotukabili kila kukicha: kupenda nchi pamoja na ubaguzi wa Kufa mtu wa ccm au potelea mbali tugawane mbao.
 
Hili taifa lina upinzan wa kipuuz huenda hakuna dunia nzima.Mtu anakuambia Mungu ibariki Lesotho, sababu za mcng utasikia oooh taifa stars ikishinda jiwe atapata sifa mara CCM watasema ni mafanikio yao.
Mungu atusaidie ndugu yangu
 
Back
Top Bottom