Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa kina Diamond, Wema, Rooney Ronaldo, Chris Brown na Jokate walikuwa bado wanatembea viunoni mwa Baba zao.
Mungu ibariki Taifa Stars, Mungu ibariki Tanzania, nchi pekee uliyotujalia.
Amin. This is new eraTuliposhiriki AFCON ya mwisho mwaka 1980 wengi humu tulikuwa tunachezea maringi na kuendesha matairi kwa miti.
Enzi hizo magazeti yanauzwa pale posta mpya na posta ya zamani. Uhuru, Mzalendo, Daily News na Jumapili Sunday News. Katuni maarufu ni zile chakubanga. Mwandishi maarufu ni James Nhende wa gazeti la mfanyakazi lililokuwa likitoka jumamosi.
Hawa kina Diamond, Wema, Rooney Ronaldo, Chris Brown na Jokate walikuwa bado wanatembea viunoni mwa Baba zao.
Na kwa wale wadogo zao pengine hata wazazi wao walikuwa hawajakonyezana.
Mungu ibariki Taifa Stars, Mungu ibariki Tanzania, nchi pekee uliyotujalia.
Mkuu umuhimu ni ushindi. Akili zetu zote ziwe huko. Hayo mengine tutajadili baada ya mechi.
Mkuu hiyo iliyotumika ni lugha ya picha, kama zile zile zinazotumiwa kwenye vitabu vitakatifu.Haya ndio maajabu ya bongo,
Nani alikuambia via vya uzazi vinakaa kiunoni?
Hiyo elimu umeitoa wapi?
Mimi nakuunga mkono mtoa mada.Wakuu leo naona tunapigwa kabisa kwakweli tujipange kuvumilia maumivu
illusionMkuu hiyo iliyotumika ni lugha ya picha, kama zile zile zinazotumiwa kwenye vitabu vitakatifu.
Usianzishe mada ndani ya mada.
Lets support our team, madhaifu yetu yapo na hayatokuja kuisha ila tuendelee kuungana kwaajili ya taifa kwenye matukio muhimu kama hili na kwa njia hii itaondoa hilo ulilosema.hatutaki CCMlization kwenye timu ya taifa. this is for our motherland. not magufuli.
umeandika kama vile ww sio mtanzaniaUnawekeza kwa wazee waliobalehe unategemea ushindi
Tengenezeni Timu za watoto, mafanikio yatapatikana tu wewe ukiwa umezeeka
Tatizo mnataka mambo ya haraka muonekane mmefanikiwa kwenye kipindi cha uongozi wenu, Ulaya haipo hiyo
Wanajadili uchumi Wa miaka 100 ijayo hawaogopi atasifiwa nani
Bongo Kila Mtu ataka sifa haraka
Kweli. Utafikiri anaandikia wengine ambao ndio Watanzania.umeandika kama vile ww sio mtanzania
Hili taifa lina upinzan wa kipuuz huenda hakuna dunia nzima.Mtu anakuambia Mungu ibariki Lesotho, sababu za mcng utasikia oooh taifa stars ikishinda jiwe atapata sifa mara CCM watasema ni mafanikio yao.
Mnapoweka mikwara kwa michango mbuzi ya mil 50 ndio hapo tunapowaachia timu yenu , acheni huo ujinga tushirikianeTena waangalie zile 50m zisiwatokee puani! Presidaa alisha waonya!
MUNGU IBARIKI TAIA STARS; MUNGU IBARIKI TANZANIA
Does this has anything to do with Politics ?Wakuu,
Leo Tanzania inaweza kuingia kwenye historia muhimu sana kwenye ulimwengu wa michezo. Tunatakiwa kuishinda Lesotho kwa namna yeyote ili tuweze kushiriki michuano mikubwa kabisa barani Africa ambayo tulishiriki Zaidi ya miaka 38 iliyopita.
Watanzania wote tusimamishe kila kitu na kuonesha kila namna ya kuiunga mkono timu yetu ya Taifa. Masaa haya machache tuchafue mitandao ya kijamii na mitaani kuonesha mshikamano wetu nyakati muhimu kama hizi.
Hii mechi ya leo si ya kawaida bali ni vita ambayo tukishindwa ni taifa limeshindwa na tukishinda ni taifa limeshinda. Heshima ya ushindi wa leo itaiweka nchi kwenye ramani kubwa Zaidi kimichezo na Zaidi itabadili uelekeo wa michezo na hasa nafasi ya wachezaji wetu kupata fursa Zaidi kwenye Nyanja za kimataifa.
Kila lakheri timu ya taifa ya Tanzania, nendeni mkapiganie nchi kwa nguvu zenu zote. Wanajeshi wetu wengi wamemwaga damu zao kuipigania heshima ya taifa letu na nyie mtambue mnawajibu sawa na huo kwaajili ya Tanzania.
Taifa zima leo limeweka matumaini yote mikononi mwenu, kaipiganieni Tanzania na mlete heshima ambayo vizazi vyote vitawakumbuka kuwa nyie ndio mliorudisha heshima ya nchi baada ya miaka 38 kushindwa kushiriki michuano hii mikubwa.
"We will stand and fight here. If we can't stay here alive, then let us stay here dead." General Sir Bernard Montgomery
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Taifa Stars ….
Hizo siasa za kipuuz kaleta nani?Fuatilia toka jpm anaapishwa pale taifa na siku yake ya kwanza kufanya kazi ndio utajua mwanzilishi wa siasa za kipuuz ni nani.Unalalamikia ulipoangukia badala ya ulipojikwaa? Jiulize tumefikaje hapa wakati huko nyuma watu walikuwa wanashangilia timu kwa pamoja? Mlete siasa za kipuuzi kisha zishike hatamu mshangae imekuwaje?
Hizo siasa za kipuuz kaleta nani?Fuatilia toka jpm anaapishwa pale taifa na siku yake ya kwanza kufanya kazi ndio utajua mwanzilishi wa siasa za kipuuz ni nani.