Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Yaani tumejiweka mazingira magumu mno! Yaani hata hawa wanatutotesha?
 
Ni bora kutopita kuliko kwenda cameroon na kuwa kapu la magoli.
Nimejaribu kuwa positive ila nashindwa. Mpira mbovu kabisa.
Mbovu Mbovu Mbovu Kupindukia.

Tunasafari Ndefu Sana Hasa kwa Wachezaji Wetu, Hatuna Wachezaji Jamni.. Changanya Na Kocha Ni Mtihani Kabisaa.

Ndomna Wanatuona Hatuko Wazalendo..
 
Hawa jamaa wanalegea na kuvuta miguu , Naomba Wasiposhinda Wakirudi Wakabangue Korosho maana watakua wameshindwa kulitetea taifa uwanjani Basi wakalitetee taifa kwenye ubanguaji wa korosho.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
...Bora ushabikie rede utaona hata chupi lakini si taifa stars...


Game ya muhimu kama hii wachezaji wanacheza kama hawataki. Kocha kaweka kikosi cha kipuuzi sijapata ona .
Aibu jamani,MTU unaacha kikosi kazi unapanga magalasa matupuuu mwisho Leo kushabikia timu ya Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…