Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tz tunajua siasa na kwichkwchKazi ipo..
Kabisa mkuu wakati sisi wengine roho zinatuuma kwa kuupenda mpira.Ukweli ni kwamba wachezaji wengi wa kitanzania hawafundishiki..full stop
Shenzi zao kabisa
Wachezaji wapo ila tatizo magazetu yetu utasikia Magambo kama messi,, hahahahUkweli ni kwamba wachezaji wengi wa kitanzania hawafundishiki..full stop
Shenzi zao kabisa
Then tuna wapeleka kwa mkuu wa Mkoa wa Tabora ana wasukuuuuuma ndaaaaniWarudishe 50m kwanza
Hiii timu angepewa Plujim afadhali maana anawajua wachezaji sio ao wapuuuz
Hatuna kipaSwala la Uzalendo Tanzania ni zaidi kujitoa muhanga yaani Kila sekta inakatisha tamaa.
Mara huku Rushwa, Miundombinu mibovu kibaya zaidi siku hizi Kumeibuka maradhi Mapya TAIFA STARS.
TAIFA STARS inarudisha nyuma sana jitihana za Uzalendo Tanzania kiasi kwamba Watanzania tunajiona Kama tumelaaniwa hivi.
Sawa kuna sababu za kimpira lakini kwa mbinu hizi za mechi za ugenini za Kocha Amunike anaweka Rehani uzalendo wetu kama Watanzania.
teh teh tehTukana kocha
Wacha warudi tuendelee na drama zetu huko kwa watu hatupawezi.Wachezaji wapo ila tatizo magazetu yetu utasikia Magambo kama messi,, hahahah
Tulikuwa na nafasi ya kushinda kama angepanga kikosi kizuri... Na hata baada ya kikosi kutangazwa wengi tulikosa tumaini la ushindi...Kama angeshinda leo sijui mngesemaje