Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

badala ya kuwapa motisha walipewa vitisho, mtazilipa, nilitaka nipeleke tim ya jeshi. sasa tupeleke wanajeshi wakacheze.
 
Ukweli ni kwamba wachezaji wengi wa kitanzania hawafundishiki..full stop

Shenzi zao kabisa
Kabisa mkuu wakati sisi wengine roho zinatuuma kwa kuupenda mpira.

Unaacha mambo yako ukitegemea unaenda kuona mambo mazuri yanayowakilishwa na watanzania wenzetu kumbe ovyo kabisa.

Tutazeeka hatutofika popote.
 
Swala la Uzalendo Tanzania ni zaidi kujitoa muhanga yaani Kila sekta inakatisha tamaa.

Mara huku Rushwa, Miundombinu mibovu kibaya zaidi siku hizi Kumeibuka maradhi Mapya TAIFA STARS.

TAIFA STARS inarudisha nyuma sana jitihana za Uzalendo Tanzania kiasi kwamba Watanzania tunajiona Kama tumelaaniwa hivi.

Sawa kuna sababu za kimpira lakini kwa mbinu hizi za mechi za ugenini za Kocha Amunike anaweka Rehani uzalendo wetu kama Watanzania.
 
Natamani JPM azidai MIL 50 zile waache upuuzi wazirudishe
 
Mil 50 za mzee[emoji16][emoji16][emoji16]Stars jiandaeni kwenda kusaidia jeshi mtwara...[emoji849][emoji849]
 
Hatuna kipa
 
100% kile kikosi hatutakii mema na taifa letu
 
Rais aliwapa mil. 50 Timu ya taifa waende wakacheze walete ushindi na akawaambia wakiletela za kuleta watazitapika hizo pesa. Mimi nasema kufungwa kizembe na Lesotho leo imetukasirisha watanganyika wengi. Hizo pesa wakitua tu hapa watukabidhi tukawalipe wakulima wa korosho hatuna pesa za utalii sisi vinginevyo wakubali bakora tano tano. Mpira umetushinda tuangalie mambo mengine ya msingi. Timu haibebeki tufanyeje sasa? Hakuna namna lazima sasa wachapwe bakora. Mimi nafikiri mpango wa rais kuandaa wanajeshi kambi maalumu kwaajili ya timu ya taifa uendelee hawa raia wameshindwa kazi
 
Nilivyomuona Mwakiembe basi nikajua hatushindi hata tukiingia na mawe mfukoni
 
jiwe waliposhinda ndio aliwaita ikulu kuwagawia hela ya maandazi
jiwe akaosha kwenye media..
sujui wakirudi atawaalika tena kwa kuiwakilisha nchi..
hiki kizee kinadhani kuwekeza kwenye michezo ni sawa na kumuita waitara ukamhonga hela aingie CCM
 
Nitaanza rasmi kuishabikia hii timu mpaka pale itakapoenda world cup sijui mwaka gani?? Vipi upande wako??
 
Kama angeshinda leo sijui mngesemaje
Tulikuwa na nafasi ya kushinda kama angepanga kikosi kizuri... Na hata baada ya kikosi kutangazwa wengi tulikosa tumaini la ushindi...
Na hata angeshinda na kikosi chake cha leo.. alifaa aondoke tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…