Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Asanteh taifa stars kwa kunipa hela bet.....nyie lieni lieni tu utazani matokeo mlkua amya jui[emoji23][emoji23]
 
Kusema kweli timu ya taifa hatuna hata kujua Kama wapo uwanjani tu hawahisi hawana mpango kabisa wa kujua kuwa wanatafuta gori wanapiga mpira tu midhari umekwenda mbele kilicho wapata Ni haki yao kabisa mimi nimeshangilia goli mpira Ni magori
 
Tupo vizuri tembeeni vifua mbele we are in right truck ☁😊☁☁😊☁😁☁
☁😊☁☁😊☁☁☁
☁😊😊😊😊☁😊☁
☁😊☁☁😊☁😊☁
☁😊☁☁😊☁😊☁
👍✨✨✨
🎉😊👏😁👏😃🎉
Congratulations!
 
Kila mahali tukikosea tunaulizana tunakosea wapi
Wakati kila kitu kiko wazi
 
nimewahi sitii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una sajest wategemee "mapenzi" kushinda!?
Wewe nawe kama taifa staaz
 
hawa wamekosa somo la uzalendo..
typically inafaa wapelekwe kwa hiari kule jkt

tena wakabangue na korosho za Ntwara kwa kujitolea
 
Kuna watanzania huwa wanadai Team nyingine zina wachezaji wazuri sana kuchezea Team ya Taifa kuliko simba na yanga.

Amunike aliingia nchini akiwa na negative attitude na wachezaji wa simba na yanga.yeye aliamini anaweza kuibua wachezaji wake wakafanya wonders.

Sasa angalia kikosi alichopanga leo na wachezaji aliowaacha nje. Kuna wachezaji leo ndo kawajaribu kwa mara ya kwanza katika mechi ambayo kwa hali na mali tulihitaji ushindi.

Leo tusimlaumu. Huwa tunawalaumu makocha kuchukua wachezaji wengi wa simba na yanga.leo kawachezesha wachezaji mbalimbali wageni.
 
Mechi ya leo imeniuma sana kuliko zote Taifa Stars ilizowahi kufungwa
 
Sonso hajawah kuanza mechi hata moja leo anamuanzisha pia Sebo hajawah anza eti Leo anawapa kikosi cha Kwanzaa Nyoni angekaa 2 na Gadiel 3 pale kati Mkude kocha na washauri wake ni tatizo Makosa Yale yale ugenini
 
....Ilikua washinde sema kuna MJINGA MMOJA akaamua kwa makusudi KUIJAMBIA timu hiyo uko Twitter ili apate mtaji wa kisiasa....
 
Yule.mzee wa kizanzibari ana mdomo.mbaya sana. Inabidi tukamuombe Msamaha
 
(In Musiba's writting) Tumefadhaishwa sana na taifa stars lakini tumabaini kupitia intelegensia yetu, wapo maadui wasiotakia mema taifa hili, ni hawahawa wasiomtakia mheshiwa jiwe mafanikio katika utawala wake.
Husuda na chuki kwao ndio wanachotaka mathalani wameweza kuloga, kuhonga mpaka timu yetu ya taifa iharibikiwe isifuzu (hapo nafasi ipo).
Wameshindwa kwenye koroshow, weildbank, acacia na sasa wameona waingilie kuhujumu timu ya taifa ili mheshimiwa raisi asipate sifaa na hongera kwa kusaidia milioni 50 zilizopelka taifa south,Lesotho na mpaka sasa chenji yake Imebaki, lakini mbaya zaidi ni wao kumhumiliate mheshimiwa jiwe hadharani wakati akiangalia Mpira live kama press release ya white house ilivotoka.
Tunawajua mlikuwepo lesetho mkiongozwa na beronad maembe, raisi wa tsl, na mbunge mmoja hvi mziito kabwe. Huku mkiwatumia amunikee, himid na nyonu.
 
Mkuu usinikumbushe haya machungu. Yaani timu ya lethoto ni ya kawaida sana. Ila kocha na hao wajinga wwngine wa benchi la ufundi ndio wametufikisha hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…