Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,898
- 4,156
Asanteh taifa stars kwa kunipa hela bet.....nyie lieni lieni tu utazani matokeo mlkua amya jui[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Mapenzi ya dhati ni gharama mammyBora hata ungepray for your family my dear, hawa ni pasua kichwa [emoji3][emoji3]
Nimechoka kabisa, ngoja niendelee kula monde!
Mkuu usinikumbushe haya machungu. Yaani timu ya lethoto ni ya kawaida sana. Ila kocha na hao wajinga wwngine wa benchi la ufundi ndio wametufikisha hapaKuna watanzania huwa wanadai Team nyingine zina wachezaji wazuri sana kuchezea Team ya Taifa kuliko simba na yanga.
Amunike aliingia nchini akiwa na negative attitude na wachezaji wa simba na yanga.yeye aliamini anaweza kuibua wachezaji wake wakafanya wonders.
Sasa angalia kikosi alichopanga leo na wachezaji aliowaacha nje. Kuna wachezaji leo ndo kawajaribu kwa mara ya kwanza katika mechi ambayo kwa hali na mali tulihitaji ushindi.
Leo tusimlaumu. Huwa tunawalaumu makocha kuchukua wachezaji wengi wa simba na yanga.leo kawachezesha wachezaji mbalimbali wageni.