Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Watapigwa 2 mtungi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team zitafungiwa zoteLeo staz atashinda
1-0 au 2-1 hata 2-0
wakibana sanaa draws
halafu kwa kuwa Uganda tuna ukaribu nao
magu ataongea na m7 Tz ishindilie Uganda bao 5 ili kufidia coz uganda wao c wamepia bhnaa!!!!
Ndoto tasa ....I rebuke this dream in Jesus name!Sina mengi sana na pia nimejitahidi nisiiseme hii ndoto yangu mbaya nliyoipata Leo usiku juu ya taifa stars.
Nmeona namna tutakavyo pigwa na wenyeji wetu, na hakuna namna ni kukubali tuu matokeo na turudi kujipanga upya kwa awamu inayokuja ila kwa hii hakika hatuna bahati. Resotho wamecheza mpira vizuri na taifa stars tumejitahidi kucheza vizuri lakin nafasi chache tulizozipata hasa ile ya bocco kutozaa matunda lakin wenzetu wamepata chache na mbili wamefanikiwa....
Najua wengi mtakuja na povu la uzalendo lakin tuyakubali matokeo na kukubali pia ni uzalendo, mtakao kwenda kutazama mpira mjindae mapema Leo tunafungwa na safari yetu inaishia south.
Mmhhhh. Hiki kikosi ngoja nijipe moyo kwa kusema kocha anawajua wachezaji wake.Timu ya Taifa la Tanzania maarufu kama Taifa Stars leo inashuka dimbani dhidi ya Lesotho katika mchezo wa leo kuwania kufuzu fainali mataifa ya Afrika AFCON 2019.
Taifa stars wataanza mechi ya leo kwa kumkosa mshambuliaji wake hatari Mbwana Samatta kutokana na Kadi ya Njano aliyoonyeshwa mchezo uliopita.
Kikosi cha Taifa Stars kinachotatajiwa kuanza katika mechi ya leo.
View attachment 938555
Duu,nimekosa amani kabisa na hiki kikosiMmhhhh. Hiki kikosi ngoja nijipe moyo kwa kusema kocha anawajua wachezaji wake.
Sonso, sebo, gadiel, mudathir na chilunda ndani ya nyumba! Dah.Duu,nimekosa amani kabisa na hiki kikosi
We siyo mzalendo, unatamani tufungweSina mengi sana na pia nimejitahidi nisiiseme hii ndoto yangu mbaya nliyoipata Leo usiku juu ya taifa stars.
Nmeona namna tutakavyo pigwa na wenyeji wetu, na hakuna namna ni kukubali tuu matokeo na turudi kujipanga upya kwa awamu inayokuja ila kwa hii hakika hatuna bahati. Resotho wamecheza mpira vizuri na taifa stars tumejitahidi kucheza vizuri lakin nafasi chache tulizozipata hasa ile ya bocco kutozaa matunda lakin wenzetu wamepata chache na mbili wamefanikiwa....
Najua wengi mtakuja na povu la uzalendo lakin tuyakubali matokeo na kukubali pia ni uzalendo, mtakao kwenda kutazama mpira mjindae mapema Leo tunafungwa na safari yetu inaishia south.
Ally Sonso ni mchezaji wa Lipuli FC katika nafasi ya MlinziHuyo soso anakipiga wapi.