OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ana kadi za kipuuzikwa nini samata hayupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana kadi za kipuuzikwa nini samata hayupo
Nina mashaka na kikosiKwa kikosi hiki ni dhahiri tumefungwa tayari kabla ya kucheza
Hapa unabao la karibu lazima litoke..Dadadadadadada tumekoswa koswa hapa hatari sana
Yaani kikosi cha hovyo sana hiki labda Mungu awe upande wetuNina mashaka na kikosi
Ngoja tusubiri nafasi yetu tu..Hawa Lesotho ni wabovu kuliko sisi, huwezi ukakosa nafasi ile
Aisee umeona mbali sana..Hii Taifa stars inavyocheza ni kama Faru Jeuri Fc au Kauzu Fc za ndondo cup
Huyu 25 huyu anafanya nini
Tunajihami na lipi?Kikosi kizima mabeki ?
Tunashambuliwa sana timu mbovuWhat a miss
Hivi ndo nani huyu?Huyu beki mpumbavu sana. Mistakes kama ile akirudia tena tunafungwa mapema