Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Au lugha itakuwa shida.. Me nadhani tungeweka sheria B4 coach hajaanza kazi lazima ajue Kiswahili kwanza labla inaweza ikatusaidia
Hapana vijana waandaliwe wakiwa wadogo football academy sio mutu anatoka form four failure akimbilie mupira kama ajira last resort
 
Hahahahaha.
Mkuu umewaza nn?
Lkn mkuu wa nchi alishawaambia siku anawapa zile 50
 
Naunga mkono hoja sema match ijayo inabidi tutoe hata rushwa tu Hamna namna t
 
Kwa Kikosi cha hovyo kilichopangwa Kuanza badala ya kile ambacho nilikitoa jana hapa baada ya Kuhakikishiwa na ' Mtaalam ' wangu kutoka Pemba wala msipoteze muda wenu Kuangalia na kama tutashinda basi ni kutoka nao Sare ila uwezekano wa Wao Kutufunga ni wa 95% japo kuna Kitu kinaitwa ' zali / bahati ' hivyo tunaweza tukafanikiwa vile vile. TFF na Benchi la Ufundi la Taifa Stars muwe mnaacha dharau pale tukiwa tunawashaurini Vitu vya Kiutamaduni / Kindumba.

Nimekereka sana kama siyo mno tu.
Toa ujinga wako hapa we ni kocha??
 
Back
Top Bottom