Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hata ukimfunga uganda huendi popote kama lesotho atamfunga cape verde
Labda uganda watuonee huruma tu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda uganda watuonee huruma tu,
daaahtutatupia viwili kipindi cha kwanza kuanzia dk 10 na 30... baada ya hapo ni kuziia mwanzo mwenga... kipindi cha pili tutamalizia goli letu la mwisho na kufunga idadi ya magoli matatu bila.... ili tukija tupokelewe ikulu
Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya timu na chama tawala. Haiwezekani leo kisha uone wanakaribia kushinda unatoka mil 50 eti ziwasaidie. Wakati tunamatatizo lukuki ya kutatuaTeh, CCM ndiyo wanapanga kikosi?
CCM ndiyo wanachagua wachezaji?
CCM ndiyo kocha wa timu?
Umeamini mkuu[emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji41][emoji41][emoji41]Huu Uzi uendelee kuwepo Hivi Hivi ,nitautumia kama ushahidi baadae
Tutolewe tu hamna namnaHata ukimfunga uganda huendi popote kama lesotho atamfunga cape verde
Bora hata ungepray for your family my dear, hawa ni pasua kichwa [emoji3][emoji3]I pray for Stars...
Unabwabwaja sanaHivi mtu unaamka tu na kuandika hatutashinda, hivi mbona kwa arsenal mlikua die hard fans mnashindwaje kwa timu yenu ya Taifa, hata kwa kuipa benefit of the doubt. Au ndio kujihami roho isiume, tukifungwa whether ulisema tutafungwa au la as long as ni shabiki wa mpira na ni mtanzania roho lazima ikuume. Tuache kutengeneza mazingira ya lawama kama ni kuandaa timu watanzania wote tuna nafasi na yako ikiwa ni kuwapa moyo sio kuwavunja moyo.