Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Leo staz atashinda
1-0 au 2-1 hata 2-0
wakibana sanaa draws
halafu kwa kuwa Uganda tuna ukaribu nao
magu ataongea na m7 Tz ishindilie Uganda bao 5 ili kufidia coz uganda wao c wamepia bhnaa!!!!
Mpira sio siasa, poleni sana mliokuwa mnategemea ushindi
 
Ni kipigo cha mwenda wazimu
Tumesukumwa ndani
Na tumeshushwa jumla jumla
 
,sasa ally Sijui sonso kacheza namba ambayo siyo yake, si Bora angemuita tshabalala Now yuko fomu ?.... Anatupangia kikosi cha kipumbavu,.. ***** waishie huko huko

Nmekasirika sana yani atakaejipendkeza ntampiga ngumi mpaka ashange
Hilo goli amechoma huyo sonso, Hao majamaa Ni wazuri sana, hila awako tayr na uzoefu wa kucheza mechi kubwa kama Hii..
 
Naunga hoja mkuu
Rais aliwapa mil. 50 Timu ya taifa waende wakacheze walete ushindi na akawaambia wakiletela za kuleta watazitapika hizo pesa. Mimi nasema kufungwa kizembe na Lesotho leo imetukasirisha watanganyika wengi. Hizo pesa wakitua tu hapa watukabidhi tukawalipe wakulima wa korosho hatuna pesa za utalii sisi vinginevyo wakubali bakora tano tano. Mpira umetushinda tuangalie mambo mengine ya msingi. Timu haibebeki tufanyeje sasa? Hakuna namna lazima sasa wachapwe bakora. Mimi nafikiri mpango wa rais kuandaa wanajeshi kambi maalumu kwaajili ya timu ya taifa uendelee hawa raia wameshindwa kazi
 
Eti tusubiri mpaka mwakani mwezi machi ndio tujue atakayeenda afcon...ungese mtupu...
 
Viongozi wa TFF tuondoleeni hiyo takataka... hana nia njema na Timu yetu

Ni dhahiri kabisa huyu kocha hatutakii mema sisi watanzania, ambao ni mashabiki wa timu yetu ya Taifa..
Mechi na cape verde alipanga kikosi kibovu tukafungwa.. karudi nyumbani karekebisha kikosi tukashinda..
Leo amekuja kurudia yaleyale.. baada ya kupanga kikosi cha ushindi yeye anapanga kikosi cha majaribio

Huyu kocha hatufai atimuliwe arudi kwao kuuza nyanya
 
We utapangaje kikosi cha kuanza kama kile sijui soso sebo nani sijui badala yake fei toto, kichuya, boko eti waingie bado dk 14
 
Back
Top Bottom