Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Jinsi walivyoua viwanda ndio walivyoua na michezo pia.
Acha kuleta siasa uchwara hata kwenye mambo yasiyohusu siasa. Nimegundua siasa uchwara ziko jf sana lkn nje ya jf watu wako busy sana na mambo ya mcng.Leo nilikua naangalia mechi na bavicha wengi sana lkn sijaona hata mmoja akileta siasa uchwara kama zinazoendelea humu.Asilimia kubwa sana kila mtu katoka anasikitika na matokeo na hata sijasikia mtu akileta uccm na ucdm. Jf ingekua ni mkoa basi tungesema ni mkoa ulijaa bavicha wengi wenye siasa za kipuuz.
 
Wangeshinda yani,, mapoko ya kijani kwanza ndio yangeongoza kwenda kupokea msafara eyapoti alafu yangemsifu sana jiwe kwa zile m50, na hata mjengoni wangeitwa kwa bashaha! But kwa kuwa Mungu siyo Athman alitambua zile kejeli alizotoa na hivyo akaamuru wapewe kichapo!
Hili jamaa lina gundu, utatoaje msaada halafu useme utakutokea kwingine ubaki salama sasa...
 
Acha kuleta siasa uchwara hata kwenye mambo yasiyohusu siasa. Nimegundua siasa uchwara ziko jf sana lkn nje ya jf watu wako busy sana na mambo ya mcng.Leo nilikua naangalia mechi na bavicha wengi sana lkn sijaona hata mmoja akileta siasa uchwara kama zinazoendelea humu.Asilimia kubwa sana kila mtu katoka anasikitika na matokeo na hata sijasikia mtu akileta uccm na ucdm. Jf ingekua ni mkoa basi tungesema ni mkoa ulijaa bavicha wengi wenye siasa za kipuuz.

Usipanic, baki hayo majukwaa yanayoongea mambo ya msingi, huku utapata kiharusi. Hap mlipokuwa mnaangalia mpira mlionyeshana kadi zenu za vyama mpaka uwajue bavicha na wao wakufahamu ww ni UVCCM?
 
Usipanic, baki hayo majukwaa yanayoongea mambo ya msingi, huku utapata kiharusi. Hap mlipokuwa mnaangalia mpira mlionyeshana kadi zenu za vyama mpaka uwajue bavicha na wao wakufahamu ww ni UVCCM?
Kwamba humu ndani we ulishaonesha kadi yako ya chama hadi jukwaa likajua we ni bavicha?Huwa nawaambia bavicha wa humu kuwa Tanzania ya jf ni tofaut kabisa na Tanzania ya huko nje.so kwa kila mtanzamo unaotoa humu hasa ukitaka kufanya generalisation ni bora ukawa specific kuwa watanzania wa sehem gani.Wenye akili hili jukwaa saiz wanalitumia kama kijiwe cha kahawa, so hakuna ku complicate, ni mwendo wa soga tu
 
Huku jukwaani watu wanachangia mambo ya siasa hivyo mchango wa mtu utakuonyesha itikadi yake. Huko kwenye mpira mlikuwa mnajadili siasa mpaka mfahamiane vyama? Huku jf kuna nyumba za kupanga kiasi kwamba watu wa huku jf hawakutani na wa huko mtaani hivyo kuwa na mitazamo ya jf tu, au mm ndio sielewi usemacho?
 
Wanajamii ya michezo

Leo Tanzania imepoteza mchezo wake muhimu katika kuelekea kufuzu Afcon

Uwanja uliotumika katika mchezo huu ni tatizo na imechangia kwa kiasi kikubwa sie watanzania kupoteza mchezo huu

Hivi ni kweli lesotho haina kiwanja bora zaidi ya hiki kilichotumika leo au ni figisu tu zimetumika kuiangamiza stars?
Acha visingizio ,Tz kuna viwanja wapi zaidi ya taifa na bandia chamazi au shamba la bibi?
 
1. Wamekula Milioni 50 toka kwa Mh.
2. Wamekula michango ya wadau mbalimbali wa soka
3. Wamekula kichapo
Hawanaga ushemeji wanakulaga
😛😛😛😛😛😛😛

(Tafadhali usifute hii wala kuiunga)
 
.
images%20(13).jpg
 
November 18, 2018
Maseru, Lesotho
Dr. Harrison Mwakyembe azungumzia kuhusu upepo mkali kiwanjani. Kocha Emmanuel Amunike amesema hawakucheza vizuri pia kushindwa kutumia nafasi chache walizopata na kuwaomba radhi mashabiki wa Taifa Stars waliosafiri masafa marefu na kuishia kuumizwa na matokeo.

Source: Azam TV
 
Mpaka siku akili zetu zitakapo acha kuwaza usimba uyanga katika medaninza sokola la bongo, ndio tutatoboa.

Naona wachezaji wanajituma lakini sijui hatuna bahati.
 
Punguzeni kuwananga bhana, khaa!
Kuna team inayoingia uwanjani kusaka draw au kufungwa?
Punguzeni uchawi bhana...usikute watu wenyewe hata kutuliza tu mpira hamjui..senz typ
 
Back
Top Bottom