escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Goli limegoma πππHivi Mtanzania mwenye asili ya Congo mbona kila muda yupo offside tu π€£π€£π€£,aturudishie uraia wetu kama hatasawazisha π€£π€£
Bob Marley kazi anayoiweza ni ubaunsaHivi Mtanzania mwenye asili ya Congo mbona kila muda yupo offside tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787],aturudishie uraia wetu kama hatasawazisha [emoji1787][emoji1787]
Roho mbaya tu ya Algeria,mboga wenzao Uganda wametoa bila shida 1.5+Goli limegoma πππ
Na offsidesBob Marley kazi anayoiweza ni ubaunsa
Hawa wajinga hawataki nipate hiyo 37π€£π€£Enyi mizimu ya mababu msaidieni Chukwu emeka goli jingine lifungwe ameeeeen
Kwann Tz, Ug na Niger tusikubaliane kumuachia Algeria aende zake ili tuigombanie nafasi ya pili πAlgeria anaweza kufuzu baada ya mechi 4 tu
Ingekua ni mchezaji wa taifa star kasukumwa vile bado ungekua na hayo mawazo?Punguza ujinga, penat zipi?
Yeah ingependeza π€£π€£π€£Kwann Tz, Ug na Niger tusikubaliane kumuachia Algeria aende zake ili tuigombanie nafasi ya pili π
Umeona mizimu ya mababu ilivyojibu mapema πYeees 2 zimepatikana,usipopata matokeo,pata hela π€£π€£π€£