Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Siyo bahati,hatuna timu mkuu.... wachezaji wetu tunawashangilia na hawahawa kina Mbao,Transit camp, Manyema mkuki wa Sumu etc.....ila uwekezaji bado na quality iko average sanaHatuna bahati aise
Ha ha hatusubiri mechi mbili za mwisho
1) itaundwa kamati ya ushindi na hamasa
2) tutawaita wachezaji ikulu
3) tutaanza zile hesabu za nani akimfunga nani tunafuzu, huyu akidroo na yule tumepita 😂
Lini tulikua na timu?Hata droo hatupati mkuu mwaka huu hatuna timu
Tanganyika 0 Algeria 2Semeni Tanzania Bara 00 - 2 Algeria [emoji23]
Kinyume chakeFT: TANZANIA 2 VS ALGERIA 0.
MWENYEZIMUNGU IBARIKI TANZANIA.
Mkuu punguza kumpiga ban GENTAMYCINE na Muuza KangalaKipigo ni sehemu ya Mechi, naamini Taifa Stars itanyanyuka tena
Timu yetu inayotegemea jtihada imejitahidi dhidi ya wapinzani wetu wenye uwezoSasa kweli Tanzania ya kuifunga Algeria [emoji16] tumesahau zile 7, tena wametuhurumia sana hizo 2
Samatta sijui kwanini anaitwa.Kim Poulsen mnamuonea bure tu, Kweli straika Kibu D na Samatta aliyezeeka, hapo ni lawama tupu
Kuna wale wanasemaga* zamani na haohao wa zamani hatujawahi kwenda hata world cup na afcon....utasikia Pondamali, Mohamed Mwameja,Mwamba kizota,Mzee wa Kiminyio,Salvatory Edward,Sele Matola,Lunyamila,Kenneth Mkapa etc sisi uongo uongo ndiyo mwingi ni sawa na kila mzazi anapomwambia mwanaye alikuwa anakuwa namba moja darasaniLini tulikua na timu?
Zamani alikuwa analazimisha na mwanae Thomas Ulimwengu aitweSamatta sijui kwanini anaitwa.
hakuna kipya TZ anayeongea kama Manula ,labda kama unataka awe MCDah! Ila Sure Boy amejitahidi sana kuchangamsha kiungo cha juu!
Dah! Ila wachezaji wa simba leo wamecheza chini ya kiwango! Kuanzia Zimbwe, Kibu, na hata Aishi Manula! Yaani hata haongei! Amekaa golini kama kuku wa kisasa!
Rest in peace Taifa Stars. Wasichana wanafanya vizuri, nyinyi mnafungwa fungwa tu.
Supa staa wetuSamatta sijui kwanini anaitwa.
Imagine ni timu ya Mnyakyusya Lugano a.k.a UpendoAnacheza FC Lugano ya Switzerland
Samatta hata kipindi alipokuwa mzuri hajawahi kuipigania stars.Supa staa wetu
Festi pleya tu pleyi ini epielo
Aliwahi kuwa pleya ofu ze year wa loko pleya bezdi ini Africa
Mkuu sivi hiyo
Ao unao wataja walimpiga Algeria 2-0 apo shamba la bibi katika uzinduzi wa uwanja shamba la bibi baada ya ukarabati wa kwanza tangu uwanja utengenezwe.Kuna wale wanasemaga* zamani na haohao wa zamani hatujawahi kwenda hata world cup na afcon....utasikia Pondamali, Mohamed Mwameja,Mwamba kizota,Mzee wa Kiminyio,Salvatory Edward,Sele Matola,Lunyamila,Kenneth Mkapa etc sisi uongo uongo ndiyo mwingi ni sawa na kila mzazi anapomwambia mwanaye alikuwa anakuwa namba moja darasani
Berkane ya wapi?Simba ipi tena! Kama ni ile simba ya akina Konde Boy, kwa sasa ni zilipendwa.
kosa la Manula pale ni nini kama walinzi wanakata tu maunoManura huwa hasikiti afungwapo, ni kama kazoea