Kufuzu AFCON 2023 | Taifa Stars 0-2 Algeria | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Kufuzu AFCON 2023 | Taifa Stars 0-2 Algeria | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Lini tulikua na timu?
Kuna wale wanasemaga* zamani na haohao wa zamani hatujawahi kwenda hata world cup na afcon....utasikia Pondamali, Mohamed Mwameja,Mwamba kizota,Mzee wa Kiminyio,Salvatory Edward,Sele Matola,Lunyamila,Kenneth Mkapa etc sisi uongo uongo ndiyo mwingi ni sawa na kila mzazi anapomwambia mwanaye alikuwa anakuwa namba moja darasani
 
Dah! Ila Sure Boy amejitahidi sana kuchangamsha kiungo cha juu!

Dah! Ila wachezaji wa simba leo wamecheza chini ya kiwango! Kuanzia Zimbwe, Kibu, na hata Aishi Manula! Yaani hata haongei! Amekaa golini kama kuku wa kisasa!

Rest in peace Taifa Stars. Wasichana wanafanya vizuri, nyinyi mnafungwa fungwa tu.
hakuna kipya TZ anayeongea kama Manula ,labda kama unataka awe MC
 
Supa staa wetu

Festi pleya tu pleyi ini epielo

Aliwahi kuwa pleya ofu ze year wa loko pleya bezdi ini Africa

Mkuu sivi hiyo
Samatta hata kipindi alipokuwa mzuri hajawahi kuipigania stars.

Awapishe vijana wengine, yeye ameshachoka na huwa sio fighter uwanjani.
 
Kuna wale wanasemaga* zamani na haohao wa zamani hatujawahi kwenda hata world cup na afcon....utasikia Pondamali, Mohamed Mwameja,Mwamba kizota,Mzee wa Kiminyio,Salvatory Edward,Sele Matola,Lunyamila,Kenneth Mkapa etc sisi uongo uongo ndiyo mwingi ni sawa na kila mzazi anapomwambia mwanaye alikuwa anakuwa namba moja darasani
Ao unao wataja walimpiga Algeria 2-0 apo shamba la bibi katika uzinduzi wa uwanja shamba la bibi baada ya ukarabati wa kwanza tangu uwanja utengenezwe.
 
Back
Top Bottom