Wakati mwingine makocha huwa wanatumia ubongo wa kuku,unamwitaje mchezaji miezi 6 hana timu,unamuacha nje mechi ya nyumbani mchezaji aliyefunga mechi ya ugeniniMsuva je? Huyo nda hatakiwi hata kuwa kikosini
Kamari 🤣🤣🤣Wakati mwingine makocha huwa wanatumia ubongo wa kuku,unamwitaje mchezaji miezi 6 hana timu,unamuacha nje mechi ya nyumbani mchezaji aliyefunga mechi ya ugenini
Huyu kijana kapishana na medali kule Wydad kabaki Tz.Uko sahihi. Hana kabisa match fitness. Yaani anachezea jina tu kwenye mechi ya leo.
wataupigwa mwingi ila wenzetu wanatumia mistake zetu kama siku zoteHuoni hata goli linatokea wapi 🤣🤣
Bora tukawekeza tu kwenye soka la wanawake! Hawa wenzetu naona hakuna kitu.Huyu kijana kapishana na medali kule Wydad kabaki Tz.
🤣🤣Star wetuSamatta mchoyo wa pasi
ana kauchoyo flaniSamatta anadrible mpaka anasahau anakoelekea au anaamua kubutua tu 🤣🤣
Sisi tunatumia nguvu,wao wanatumia nguvu na akili🤣🤣wataupigwa mwingi ila wenzetu wanatumia mistake zetu kama siku zote
Algeria wametangulia na baiskeli ya mabua!Tushakaa hatoki wapi
Sasa mbele hakuna wa kumpasia! Atafanyaje. Mbaya zaidi kwa sasa Samatta hawezi kabisa kucheza namba 9 ya kusimama!Samatta anadrible mpaka anasahau anakoelekea au anaamua kubutua tu 🤣🤣