Kufuzu AFCON 2023 | Taifa Stars 0-2 Algeria | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Kufuzu AFCON 2023 | Taifa Stars 0-2 Algeria | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Bakar Shime apewe tu hii timu ya wanaume kwa kwel, tunaweza kwenda WorKap 😂
 
Huyu kijana kapishana na medali kule Wydad kabaki Tz.
Bora tukawekeza tu kwenye soka la wanawake! Hawa wenzetu naona hakuna kitu.

Kocha mpaka muda huu anashindwa kuingiza George Mpole! Timu inacheza bila mshambuliaji wa kati! Ujinga gani huu!
 
Wakati mwingine makocha huwa wanatumia ubongo wa kuku,unamwitaje mchezaji miezi 6 hana timu,unamuacha nje mechi ya nyumbani mchezaji aliyefunga mechi ya ugenini
Mpaka apangwe hapo, ujue kocha kamuamini.
Tate Mkuu
 
Back
Top Bottom