Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ni bahati sana kupata sare Kwa hawa jamaa,hawa wanaamua tu tupooze mchezo au tushambulie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni bahati sana kupata sare Kwa hawa jamaa,hawa wanaamua tu tupooze mchezo au tushambulie
Hata droo hatupati mkuu timu hatunaTunapigwa tukijitahidi droo
Hahahaaaaa weweeee utuache simba hatuhusiki huku.Kwanza si huwa mnatuponda ninyi!Dickson Kibabage ni mchezaji hewa,hana msaada wowote kwenye pitch.
Simon Msuva siku mbaya kazini.
Kibu Denis ni bora aingie kuongeza nguvu kule mbele.
Simba ile kamati yenu ipo wapi muinusuru timu..[emoji3064]
Punguza ujinga, penat zipi?Alafu refa yuko upande wetu masikinii. Penati mbili sasa kapeta
Mwamnyeto kasababisha tena lakini sio mbaya tumejitahidi hii hii moja tuliyopigwa twende nayo hivyo hivyo.Hiyo nidhamu itapatikana wapi kwa aina ya mabeki wetu wa kati! Bakary Mwamnyeto ni beki anayejisahau sana awapo uwanjani!
Na hata ukimfuatilia kwenye timu yake ya Yanga, amekuwa akisababisha mara nyingi timu kufungwa magoli ya kizembe kwa sababu ya kujisahau kwake.
Dickson Job naye anakula sana daruga nje ya 18! Jambo ambalo ni hatari sana iwapo hawa jamaa watatumia nafasi vizuri.
Kocha ni mpuuzi. Hakuwa na sababu ya kumuacha mchezaji aliyeifungia timu goli pekee kwenye mechi iliyopita, halafu unamchezesha mtoto asiye na uzoefu wowote ule.Kibabage amegusa mpira kweli
Mkuu linapokuja swala la team ya taifa,Ni manufaa yetu sote sio Simba au Yanga ambaye ananufaika.Hahahaaaaa weweeee utuache simba hatuhusiki huku.Kwanza si huwa mnatuponda ninyi!
Aje GSM anunue mechi kama alivyofanya msimu huu
Umeona ehh alafu jamaa hata hajaruka sanaUfupi janga kwetu
Kiukweli Msuva na yeye anatakiwa kupumzishwa. Angeingia George Mpole na Kibu Dennis, hala Msuva na Kibabage wangepumzishwa.Hivi Msuva ameitwa kikosini kwa kigezo gani?
Wanajua wamewafunga vimeo.Mijamaa wala haishangilii goli. Wana dharau
Exposure.Hivi Msuva ameitwa kikosini kwa kigezo gani?
Hii tabia ya kila mtu kujifanya refa inaboa sana.Punguza ujinga, penat zipi?
Eeeh wakina mzamiru vimeo ndiyoWanajua wamewafunga vimeo.
kaka unamoyo aiseeHela ya supu keshoView attachment 2254556