escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Subirieni kamati ya hamasa ndio itatuvusha, wachezaji nao wanajua hilo 😂Samatta hata kipindi alipokuwa mzuri hajawahi kuipigania stars.
Awapishe vijana wengine, yeye ameshachoka na huwa sio fighter uwanjani.