Kufuzu CHAN | Tanzania 1 (5) - (6)0 Sudan | Uwanja wa Mkapa

Kufuzu CHAN | Tanzania 1 (5) - (6)0 Sudan | Uwanja wa Mkapa

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
12,675
Reaction score
25,924
Timu ya Tanzania, inacheza na Sudan, hivi ni Tanzania hii hii au ni ya mabwepande? hawajui mpira, na aliyechagua wachezaji hawa anapaswa akae lock up kabisa.

Timu ya Tanzania, inacheza na Sudan, mchezo bado unaendelea hadi sasa

CHAN 2024 QUALIFIERS

70’ Tanzania 🇹🇿1️⃣-0️⃣🇸🇸 Sudan
⚽️ Chrispine Mhagama

Agg (1-1)

90’ Tanzania 🇹🇿1️⃣-0️⃣🇸🇸 Sudan
⚽️ Chrispine Mhagama

Agg (1-1)

FT’ Tanzania 🇹🇿1️⃣-0️⃣🇸🇸 Sudan
⚽️ Chrispine Mhagama

Agg (1-1)
Penati 5-6

Licha ya Sudan kusonga mbele, Tanzania itashiriki michuano hiyo inayofanyika Februari 01 - 28, 2025 kwa tiketi ya Mwenyeji kwani Kenya, Uganda na Tanzania ndio zitakuwa wenyeji wa michuano hiyo
 
Duh! Nahisi kuna tatizo sehemu haiwezekani ken gold vs pamba mechi yao ijulikane kwa watanzania wengi kuliko TIMU YA TAIFA IKIWA INACHEZA.
 
Hapa ndio utaona utofauti wa makocha wa kigeni na hawa Wazawa. Shime na mwenzake wamefanya kitu very unprofessional.

Saadun katoka kucheza mechi tafu jana tu, hata masaa 24 hayajapita unaforce acheze. Fitness ataitoa wapi? Mentality ataitoa wapi?

Huu utoto huwezi kuukuta kwa makocha wa kigeni.
 
tumeonekana wabovu. kwani kama ni wachezaji wa ndani, wale wa toka timu za yanga na simba mbona siwaoni.
 
Hata hivyo hicho kikosi kizuri wawaendeleze hawa madogo ........

Hawa jamaa ndo wameleta full mkoko aloo.........🙌
 
Hata hivyo hicho kikosi kizuri wawaendeleze hawa madogo ........

Hawa jamaa ndo wameleta full mkoko aloo.........🙌
kwani hatukuitaka hii chan hadi tuweke timu ya majaribio?
 
Back
Top Bottom