Daaah tim yng nakupenda sana
Kwenye huu uzi wazalendo hawapo?
Ally Mustafa 3:4 Aishi Manula
We ni mkiya eeeh.Ila kiukweli jamaa kaokoa sana, algeria kipindi cha pili wamefika fika golini sana kuliko kipindi cha kwanza, Ally Mustafa kuna uwezekano angekula nyingi.
Kwenye huu uzi wazalendo hawapo?