KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

Ushauri:
Wana JF hembu chukueni Magazeti yalivyodandika kwa mbwebwe ya leo.
Mara Samata atigisha jiji,mara TAIFA STAR yawa gumzo

Aisee,mpira wetu huu wa magazeti kazi kweli.

RANK YA FIFA tunashushwa vibaya safari hii
 
Samatta na ulimwengu wanahitajika kuwa clinical zaidi, wanakosa sana one on one!
 
Wale wanaopenda kuamini kuwa kila jambo zuri nchi hii ni mafanikio ya watu wa itikadi furani ya kisiasa. Sijui na hili la goli 7-0 ni mafanikio yao au ni yetu wote?.
 
kocha atimuliwe tu maana mzungu tulifukuza kisa kapigwa tatu sasa huyu saba kweli hapa kazi tu
 
Mpira ni FT: Algeria 7 Tanzania 0.
Wakati wa nasaha wa nini cha kufanya kufika ktk mafanikio.
 
Asante tanesco kwa kukata umeme nisiangalie live!
 
Haya tunajua mtakuja na ndege ya usiku kimyaaaaaaaaaa
Maana kuna kipindi kila mchezaji alipanda gari lake kurudi kwao,hahahahahah

AIBU AIBU AIBU AIBU,hapa ndio tunajua kwamba League yetu sio kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
kuliko kuendelea kutuaibisha hivi ni bora tuigeuze bendi kama twanda pepeta au malaika.
 
Aibu sana, kwa kuweka rekodi kwa timu yetu tangu tuhaza kushiliki kwenye kufuzu kumbe la dunia. Dah kweli kocha hajiuzulu kabsa. Hapa kazi tu yaan tumefungwa sijui kazi hijafanyika uwanjan.
 
Back
Top Bottom