KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

Mkuu jezi ya away ndio hii aliyovaa samatta kwenye picha ya mwisho?
1a.JPG
 
ALGERIA Vs TANZANIA 21:15 USIKU.

★BantuTv LIVESTREAMING★

Utaangalia mechi ya Marudiano Kufuzu fainali za kombe la dunia :Algeria vs Tanzania kupitia BantuTv LIVESTREAMING.

Bofya hapa:--> Utaangalia mechi ya Marudiano Kufuzu fainali za kombe la dunia :Algeria vs Tanzania kupitia BantuTv LIVESTREAMING. ~ Bantuz

Ukitaka kujua pia mechi hiyo itarushwa Na Channel Gani bofya link hapo juu.

Unaweza kuangalia vipindi mbalimbali katika Online Tv yetu BantuTv kupitia YOUTUBE.

Kwa habari mbalimbali Bantuz.
 
Kikosi cha Stars dhidi ya Algeria usiku huu.
1. Ali Mustafa
2. Shomari Kapombe
3. Haji Mwinyi
4. Nadir Haroub
5. Kelvin Yondani
6. Mudathir Yahya
7. Thomas Ulimwengu
8. Himidi Mao
9. Mbwana Samata
10. Eliasi Maguli
11. Farid Mussa
Akiba:
1. Aishi Manula
2. Mohamed Hussein
3. Salumu Mbonde
4. Salumu Telela
5. Jonasi Mkude
6. Simoni Msuva
7. John Bocco
8. Malimi Busungu
 
kama una matatizo ya presha au moyo tafadhali sana usije ukaangalia hii mechi tusije tukakupoteza
 
Kwa mechi iliyopita kucheza vibaya kwa NGASA na NDEMLA ndo hata benchi hawapo?
jamani mkwasa si kila siku ni ijumaa au ndo umeanza kuogopa maneno ya mashabiki?
 
Tulichopanda ktk soka ndicho tuvunacho wakati huu.
 
Back
Top Bottom