unadhani hata ngumi tutawaweza???watatupiga kama watoto wao:d:d
sipendi kukata tamaa.
Iko hivi, tungekuwa makini kiasi kikubwa tungweza kuwafunga hata goli tano hapa nyumbani katika mechi ya kwanza. Uwezekano ulikuwa mkubwa sana.
Tungeishangaza dunia na timu yao imgekuwa matatani.
Tatizo hatukubadilisha zile nafasi kuwa magoli. Wenzetu wametumia nafasi vizuri.
Algeria walikuwa kwao na ni timu bora wote tunafahamu hilo. Upinzani walionyesha kombe la dunia ni alama kubwa ambayo huwezi kupuuza. Tunaifahamu ujerumani vizuri na ndio iliyomfumga brazil goli saba pale pale kwao. Algeria kwa sasa ni timu kubwa. Tumekuwa tunaomba waivushe africa kwenda nusu fainali kwa muda sasa.
Tusiipuuze timu yetu, tulicheza vizuri sana nyumbani, kila mmoja anacheza vizuri kwao, ilikuwa tuweke historia kubwa sana siku ile.
Kwa sasa.
1. Mkwasa aikague timu yake, aangalie michezo yote aliyocheza, achambue kwa makini udhaifu tulionao tukiwa home na away, avifanyie kazi hivyo. Apewe mechi ngumu za majaribio sio vitimu vya watoto ni aibu
2. Timu za vijana ndio msingi, vinginevyo tutaendelea kudanganyana milele yote. Huwezi kila siku kukaa unaokota eti huyu azam, yule yanga, yule mbeya city, tutafungwa mpaka mwisho. Timu za vijana,zinazopasiana wachezaji. Grouped below seventeen work hard to give seventeenth, due seventeenth send 23, next to a national team. National team which has stayed firm for a while and not just collection of players for a match....... We should know our position, our soccer is still low compared to many others.
Ghana could be a very good lesson to us. We should learn the way they handle youth teams. The time our youth team with participate in youth competition successfuly is the time the national team will be approaching to its higher success.