Tv gani itaonesha mkuu
Mkuu jezi ya away ndio hii aliyovaa samatta kwenye picha ya mwisho?
Mkuu jezi ya away ndio hii aliyovaa samatta kwenye picha ya mwisho?
Algeria out.
Televisheni ya Taifa ya Zanzibar, kwenye king'amuzi cha Azam.
Nilifikiri Malimi Busungu sio Mtanzania.