Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
Mechi saa ngapi jamani
Algeria out.
Kitabu kipi maana kuna Taurati, Injili, Zaburi na Qur an.
Timu ya Taifa ya Tanzania ?Taifa Stars? leo usiku saa 1:15 kwa saa za Algeria, (sawa na saa 3:15 kwa saa za Afrika Mashariki) itashuka dimbani kuwakabili wenyeji Algeria katika mchezo wa marudiano wa kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Urusi.
Chanzo: Shirikisho la Mpira wa Miguu
==================================================
==================================================