KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

dah tbc hovyo sana ....watu tumelipia hapa fasta fasta halafu wanaonesha mziki!
 
Tumefungwa goli moja kabla hata ya dakika moja kuisha,je tatizo ni nini kuhusu huu mpira wetu jamani?
 
Aisee,kweli kazi.

Ngoja tusubirie lapili tukalale.

Maximo alisema wachezaji wa Tanzania hawafundishiki tukamuona sie.
Leo wataelewa kesho kwenye mechi yanakuwa yale yale.Wawaulize AZAM yaliyowakuta SUDAN kurejeshewa goli zote
 
Baada ya sare ya 2-2hapa dar, nilisema tukienda kwao itakua aibu kubwa , watu wlitoa povu jingi humu.
 
Aisee,kweli kazi.

Ngoja tusubirie lapili tukalale.

Maximo alisema wachezaji wa Tanzania hawafundishiki tukamuona sie.
Leo wataelewa kesho kwenye mechi yanakuwa yale yale.Wawaulize AZAM yaliyowakuta SUDAN kurejeshewa goli zote

Punguza jazba mkuu!!
Lolote laweza kutokea
 
Tunachoweza ni kuiba kura tu mengine tuwaachie wengine mshika mawili kimoja humponyoka.
 
Mashabiki wanampiga taa za rangi kipa wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…