KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

Dah hali mbaya sana.
Tushafungwa la pili.
Yaani hatuko sawa kabisa tunahitaji patient kwanza...
Mpira dakika 90.
Dakika 26: Algeria 2 Tanzania 0
 
Tbc wanaonesha marudio ya kampeni za Magufuli na pushap sasa....
 
sijaona matumaini ya kurejesha,ila naona kadi nyekundu tu inakaribia kwetu.

Kweli World Cup wataenda wenye kujua tu na records nzuri.

Marking mbaya kweli,yaani wachezaji ukabaki hakuna kabisaa,watu wanakaba vivuli na wakikaba mtu basi faulo
 
Tanzania 1 Algeria 2
Dah limekataliwaa...alikua Elias Maguli.
Hizi fitina hatuna sisi jamani matokeo yanabaki hivyo hivyo.
Tuwe wapole tu!
 
Honestly, nitafurahi sana, tena sanaa kama Taifa stars ikifungwa na kutolewa.
Sina Uzalendo kabisa kwa nchi yangu. Ninaichukia sana Tanzania. Sioni faida ya kuwa mtanzania.
 
Goli la pili ni la direct kick baada ya faulo,tena mbaliiii jamaa kamdungua kipa mbali

Sasa hivi jamaa wanajaribu mbali sasa
 
Mama yoo nisije nikapasua tv yangu bure hivi wanajua hata wanachokifanya hawa? au hawajala
 
Honestly, nitafurahi sana, tena sanaa kama Taifa stars ikifungwa na kutolewa.
Sina Uzalendo kabisa kwa nchi yangu. Ninaichukia sana Tanzania. Sioni faida ya kuwa mtanzania.

Nyinyi ndo ISIS wenyewe sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…