kibanga 3
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 1,380
- 977
Tunachoweza ni kuiba kura tu mengine tuwaachie wengine mshika mawili kimoja humponyoka.
hahahaaa wewe swaga zetu una utani mbaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunachoweza ni kuiba kura tu mengine tuwaachie wengine mshika mawili kimoja humponyoka.
Mpaka sasa yellow card nne kwa Tanzania na nyingi mabeki. Nahisi jamaa wanatafuta chochoro kwa nguvu. Refa game imemshinda
Hadi sasa dk. 30: Yellow cards 1-3 kwa Algeria na Tanzaniaitawalia.
hii ngoma mkwasa haiwezi. ni jecha tu ndo anaweza kuthubutu
hii ngoma mkwasa haiwezi. ni jecha tu ndo anaweza kuthubutu
Honestly, nitafurahi sana, tena sanaa kama Taifa stars ikifungwa na kutolewa.
Sina Uzalendo kabisa kwa nchi yangu. Ninaichukia sana Tanzania. Sioni faida ya kuwa mtanzania.