KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

Mudahir Yahya anapata kadi ya pili ya njano, NYEKUNDU dk ya 41.
 
Hii inaitwa clinical finishing, tungetunza heshima kama na sisi tungetumia nafasi zetu raundi ya kwanza.
 
Sasa hivi Algeria wanafanya mazoezi na sio mechi.

Alichofanya mkwasa kwa sub aliochemka hapa bongo,ingekuwa kocha mzungu tungesema kauza mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…