KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

Hii inaitwa clinical finishing, tungetunza heshima kama na sisi tungetumia nafasi zetu raundi ya kwanza.
 
Sasa hivi Algeria wanafanya mazoezi na sio mechi.

Alichofanya mkwasa kwa sub aliochemka hapa bongo,ingekuwa kocha mzungu tungesema kauza mechi.
 
Back
Top Bottom