Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Allez les Burundais. Nous sommes derrière vous.
AsanteeeMchezo umeanza kwa kasi sana, kipindi cha kwanza Tanzania lazima tupate goli au magoli.
Hiyo ni lazima.
AminaMungu ibariki Tanzania
Eeee! Victorie, tafsiri kwa kiswahili au kingereza basi.Allez les Burundais. Nous sommes derrière vous.
Game imekuwa ngumu ghafla...HT Stars 1-Burundi 1
Kiufundi kama tukiwakosa katika dakika hizi 45 za Kwanza Kipindi cha Pili kinaweza kuwa ni Kigumu mno Kwetu Tanzania kwani hawa Waburundi watakuwa si tu wameshatusoma bali watakuwa wameshatuzoea na watatupa wakati mgumu na pengine hata Kupoteza Mchezo kwa Kutufunga Goli la ' Counter Attack ' kwani najua kama hadi Kipindi cha Pili tukiwa bado hatujawafunga Goli hata Moja Wachezaji wetu wote wa Tanzania watataka kwenda mbele Kushambulia na kutoa huo mwanya wa Sisi Kufungwa aina hiyo ya Goli nililosema.
Makocha Ndayiragije, Mgunda na Matola wahakikishe Tanzania tunapata Goli dakika hizi 45 za Kwanza kwani itatutasidia mno Kuwachanganya Waburundi na hata Kuwatesa zaidi Kisaikolojia ambapo wanaweza nao wakajikuta wanachanganyikiwa, wanacheza vibaya hali ambayo Kwetu itakuwa ni faida kwani tunaweza Kujipatia Magoli zaidi na Kumaliza Mchezo mapema mno na tukawasubiri FIFA watupangie Wapinzani wetu ( nikimaanisha tutakuwa tumeshafuzu ) na Waburundi wakijiandaa kurudi Kwao Kichwa chini.
Tusiwadharau Waburundi na tutambue kuwa hata Wao ni Wazuri vile vile na wana Wachezaji mmoja mmoja ambao wanaonekana kuwa na ' Footwork ' nzuri, Mipango na Uweledi kuliko Wachezaji wetu ambao nawaona wanacheza mno na Jukwaa na kila Mtu anataka Kufunga tu Yeye badala ya Kucheza Kitimu zaidi na Kuzingatia Maelekezo ya Kocha wao ambaye ' Technically ' anaonekana yupo vizuri Kuliko Kocha wetu japo Kocha wetu ana bahati ya kuwa na Hamasa kubwa ambayo ipo kwa Watanzania ( Mashabiki ), Serikali bila kusahau na Shirikisho lenyewe la TFF.
Asante mwalimu kashasaKiufundi kama tukiwakosa katika dakika hizi 45 za Kwanza Kipindi cha Pili kinaweza kuwa ni Kigumu mno Kwetu Tanzania kwani hawa Waburundi watakuwa si tu wameshatusoma bali watakuwa wameshatuzoea na watatupa wakati mgumu na pengine hata Kupoteza Mchezo kwa Kutufunga Goli la ' Counter Attack ' kwani najua kama hadi Kipindi cha Pili tukiwa bado hatujawafunga Goli hata Moja Wachezaji wetu wote wa Tanzania watataka kwenda mbele Kushambulia na kutoa huo mwanya wa Sisi Kufungwa aina hiyo ya Goli nililosema.
Makocha Ndayiragije, Mgunda na Matola wahakikishe Tanzania tunapata Goli dakika hizi 45 za Kwanza kwani itatutasidia mno Kuwachanganya Waburundi na hata Kuwatesa zaidi Kisaikolojia ambapo wanaweza nao wakajikuta wanachanganyikiwa, wanacheza vibaya hali ambayo Kwetu itakuwa ni faida kwani tunaweza Kujipatia Magoli zaidi na Kumaliza Mchezo mapema mno na tukawasubiri FIFA watupangie Wapinzani wetu ( nikimaanisha tutakuwa tumeshafuzu ) na Waburundi wakijiandaa kurudi Kwao Kichwa chini.
Tusiwadharau Waburundi na tutambue kuwa hata Wao ni Wazuri vile vile na wana Wachezaji mmoja mmoja ambao wanaonekana kuwa na ' Footwork ' nzuri, Mipango na Uweledi kuliko Wachezaji wetu ambao nawaona wanacheza mno na Jukwaa na kila Mtu anataka Kufunga tu Yeye badala ya Kucheza Kitimu zaidi na Kuzingatia Maelekezo ya Kocha wao ambaye ' Technically ' anaonekana yupo vizuri Kuliko Kocha wetu japo Kocha wetu ana bahati ya kuwa na Hamasa kubwa ambayo ipo kwa Watanzania ( Mashabiki ), Serikali bila kusahau na Shirikisho lenyewe la TFF.
Bro1-1 dah
Fala wwYaaani wapigwe 100 Taifa Sitazi, hii timu ukiiwekea dhamana unaumia tu
Fala ww
Mungu Ibariki Taifa Stars[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Bongo soka bado Apo tuna kaa tuuh kwao tuli mwotea tuuh kurudisha goliFala ww
Mungu Ibariki Taifa Stars[emoji1241][emoji1241][emoji1241]