Kufuzu Kombe La Dunia: Tanzania yaitoa Burundi kwa matuta

Allez les Burundais. Nous sommes derrière vous.

Man, you can't say that ''go go Burundi we are behind you". Kuwa mzalendo kwa leo maana CCM wameacha kuingilia Taifa Stars na kuitia nuksi, hivyo michezo haina chama September 8, 2019.
 
Kiufundi kama tukiwakosa katika dakika hizi 45 za Kwanza Kipindi cha Pili kinaweza kuwa ni Kigumu mno Kwetu Tanzania kwani hawa Waburundi watakuwa si tu wameshatusoma bali watakuwa wameshatuzoea na watatupa wakati mgumu na pengine hata Kupoteza Mchezo kwa Kutufunga Goli la ' Counter Attack ' kwani najua kama hadi Kipindi cha Pili tukiwa bado hatujawafunga Goli hata Moja Wachezaji wetu wote wa Tanzania watataka kwenda mbele Kushambulia na kutoa huo mwanya wa Sisi Kufungwa aina hiyo ya Goli nililosema.

Makocha Ndayiragije, Mgunda na Matola wahakikishe Tanzania tunapata Goli dakika hizi 45 za Kwanza kwani itatutasidia mno Kuwachanganya Waburundi na hata Kuwatesa zaidi Kisaikolojia ambapo wanaweza nao wakajikuta wanachanganyikiwa, wanacheza vibaya hali ambayo Kwetu itakuwa ni faida kwani tunaweza Kujipatia Magoli zaidi na Kumaliza Mchezo mapema mno na tukawasubiri FIFA watupangie Wapinzani wetu ( nikimaanisha tutakuwa tumeshafuzu ) na Waburundi wakijiandaa kurudi Kwao Kichwa chini.

Tusiwadharau Waburundi na tutambue kuwa hata Wao ni Wazuri vile vile na wana Wachezaji mmoja mmoja ambao wanaonekana kuwa na ' Footwork ' nzuri, Mipango na Uweledi kuliko Wachezaji wetu ambao nawaona wanacheza mno na Jukwaa na kila Mtu anataka Kufunga tu Yeye badala ya Kucheza Kitimu zaidi na Kuzingatia Maelekezo ya Kocha wao ambaye ' Technically ' anaonekana yupo vizuri Kuliko Kocha wetu japo Kocha wetu ana bahati ya kuwa na Hamasa kubwa ambayo ipo kwa Watanzania ( Mashabiki ), Serikali bila kusahau na Shirikisho lenyewe la TFF.

Kaka ulichoandika ndicho kinachotokea
 
Asante mwalimu kashasa
 
Hawa Warundi sio watu wa kuwa underestimate ata kidogo, vinginevyo tutabaki hapa hapa nyumbani.
 
Mungu Ibariki Taifa Stars[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Back
Top Bottom