Kufuzu kwa Taifa Stars AFCON ni Unabii mwingine wa Ushindi wa Rais Samia Mwaka 2025

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Nawakumbusha tuu ni katika Uongozi wa Rais Samia ndio Taifa hilimlimepata mafanikio makubwa sana kwenye sekta zote kuanzia uchumi na Biashara, Huduma za jamii Hadi Michezo.

Hivi ndivyo Rais Samia atapeta na kupenya licha kuzushiwa chuki, Ubaguzi na upuuzi mwingine na Chadema.

Kufuzu Kwa Taifa Stars Afcon umekaa kinabii zaidi. Juzi kati hapo wanawake wa Tanzania walikuwa mabingwa wa cecafa, timu ya fountain gate inawakilisha Africa ,waogeleaji Wetu wanawakilosha Africa huko Duniani nk nk.

View: https://twitter.com/dailynewstz/status/1699905560861122563?t=f_Og6uzwMEgFb8je7vLljg&s=19

My Take
Chadema jifunzeni kuwa na macho ya rohoni kama mnabisha muulizeni Nabii wenu Lema.

View: https://twitter.com/SuluhuSamia/status/1699897655332372763?t=w7kk86w6XBts1gCEDqJQZQ&s=19

Ilani, kumekuwa na tabia mbaya sana ya mods kufuta nyuzi zinazomsifia Rais ila za kuponda huzipa kipaombele.Huu ni uzi independent.
 
Ni juhudi binafsi za wachezaji na uwekezaji mkubwa katika vilabu vya TZ hasa Simba, Yanga, Azam na Singida Big Stars kufanya ligi yetu ligi kuwa na ushindani mkubwa hence improvements za wachezaji mmoja mmoja hadi hiyo timu ya Taifa, pamoja na wale ma Pro wetu wameongezeka.

Sisi tunataka Bandari yetu na Loliondo yetu.
 
Baby mama tafuta kazi ya kufanya achana na mambo ya uchawa watu wambeya hawapo hivyo hizo mambo achia watu wa kigoma
Mbona kama unaumia tatizo ni nini ndugu?

Akisifiwa Rais Samia Kwa mazuri wanaomsifia ni machawa ila akisifiwa Mbowe na Lisu wanaomsifia ni Wazalendo 😁😁🤣🤣

Mkuu wahi Mirembe Huduma ni Bure Afya Yako ya akili inatia shaka.
 
Ni juhudi binafsi za wachezaji na uwekezaji mkubwa katika vilabu vya TZ hasa Simba, Yanga, Azam na Singida Big Stars kufanya ligi yetu ligi kuwa na ushindani mkubwa hence improvements za wachezaji mmoja mmoja hadi hiyo timu ya Taifa, pamoja na wale ma Pro wetu wameongezeka.

Sisi tunataka Bandari yetu na Loliondo yetu.
Vyote hivyo vimefanyika awamu ya 6,Kwa nini haikufanyika kabla? Jibu ni kwamba Mazingira ya Kila kitu Kwa Sasa ni favorite sana.

Mama mi 10 tena

View: https://twitter.com/Nipashetz/status/1699801652709212574?t=KfYGxkNudYsAOYfHS94fMQ&s=19
 
Mnafanya siasa mbaya sana za matumbo na hizi ndio siasa za kuuwa nchi hii, simamia ukweli.
Tumbo lipi Mzee mbona unabwatuka hovyo? Tafuta jina langu hapo CCM kama utalikuta.

Sio Kila mtu ni mwanaccm au chawa kama ulivyokariri ujinga wako
 
Utawala wa JPM na Samia umekuwa na bahati sana ndani ya miaka 8 nchi imefuzu Afcon mara mbili Simba kafika robo ya club bingwa Afrika mara 4, yanga kafika fainal shirikisho hii inaonesha Mungu yupo pamoja na uongozi huu.
Huyo mungu kazi yake ni kutufikisha kwenye robo fainali na kufuzu tu? Uwezo wa kutufikisha fainali na kuchukua kombe hana? Ama yeye anafurahi sisi kufuzu michuano hata tukitolewa yeye kazi yake amemaliza?
 
Inapewa kile unachostahili na kadiri apendavyo
 
Nawakumbusha tuu ni katika Uongozi wa Rais Samia ndio Taifa hilimlimepata mafanikio makubwa sana kwenye sekta zote kuanzia uchumi na Biashara,Huduma za jamii Hadi Michezo.

Hivi ndivyo Rais Samia atapeta na kupenya licha kuzushiwa chuki,Ubaguzi na upuuzi mwingine na Chadema.

Kufuzu Kwa Taifa Stars Afcon umekaa kinabii zaidi.Juzi kati hapo wanawake wa Tanzania walikuwa mabingwa wa cecafa,timu ya fountain gate inawakilisha Africa ,waogeleaji Wetu wanawakilosha Africa huko Duniani nk nk.

View: https://twitter.com/dailynewstz/status/1699905560861122563?t=f_Og6uzwMEgFb8je7vLljg&s=19

My Take
Chadema jifunzeni kuwa na macho ya rohoni kama mnabisha muulizeni Nabii wenu Lema.

Ilani,kumekuwa na tabia mbaya sana ya mods kufuta nyuzi zinazomsifia Rais ila za kuponda huzipa kipaombele.Huu ni uzi independent.

Aha wapi! Hii ni unabii kwamba tutachuana vikali na DP World( waarabu)
 
Jana usiku basi la Frester litokalo Bukoba kwenda Dar limepata ajali eneo la Kibaigwa. Tumepoteza Watanzania 12....

Je hiyo inatabiria nini kwenye uchaguzi wa 2025 kwa mama Sa100?
 
Ajali zipo Kila siku,zilikuwepo zitakuwepo ni sehemu ya majanga ya binadamu kama.magonjwa nk
 
Back
Top Bottom