Kufuzu kwa Taifa Stars AFCON ni Unabii mwingine wa Ushindi wa Rais Samia Mwaka 2025

Kufuzu kwa Taifa Stars AFCON ni Unabii mwingine wa Ushindi wa Rais Samia Mwaka 2025

Nawakumbusha tuu ni katika Uongozi wa Rais Samia ndio Taifa hilimlimepata mafanikio makubwa sana kwenye sekta zote kuanzia uchumi na Biashara, Huduma za jamii Hadi Michezo.

Hivi ndivyo Rais Samia atapeta na kupenya licha kuzushiwa chuki, Ubaguzi na upuuzi mwingine na Chadema.

Kufuzu Kwa Taifa Stars Afcon umekaa kinabii zaidi. Juzi kati hapo wanawake wa Tanzania walikuwa mabingwa wa cecafa, timu ya fountain gate inawakilisha Africa ,waogeleaji Wetu wanawakilosha Africa huko Duniani nk nk.


View: https://twitter.com/dailynewstz/status/1699905560861122563?t=f_Og6uzwMEgFb8je7vLljg&s=19

My Take
Chadema jifunzeni kuwa na macho ya rohoni kama mnabisha muulizeni Nabii wenu Lema.


View: https://twitter.com/SuluhuSamia/status/1699897655332372763?t=w7kk86w6XBts1gCEDqJQZQ&s=19

Ilani, kumekuwa na tabia mbaya sana ya mods kufuta nyuzi zinazomsifia Rais ila za kuponda huzipa kipaombele.Huu ni uzi independent.

Unabii wa kweli ni kwamba sa100 hana mda mrefu, ya kwanza rais alikufa, ya pili rais kafa na ya tatu......
 
Unapaswa uwaze maendeleo kamili yanawafikiaje wananchi wahitaji leo hii badala ya kuwaza uchaguzi.Unataka kutueleza huko CCM mnaishi ili mfanye uchaguzi tu!?
Michezo ni sehemu ya hayo maendelea ambayo yanachapwa Kila mahala
 
Back
Top Bottom