Kufuzu kwa Taifa Stars AFCON ni Unabii mwingine wa Ushindi wa Rais Samia Mwaka 2025

umeanza kupagawa mwaisa
 
Sijui ni kwa nini huwa mnapenda sana kutukuzana, na pia kupeana sifa za kijinga. Mkikosolewa kidogo tu, mnaanza kuwasumbua wakosoaji wenu.

Nyinyi ni watu wa hovyo sana
 
World cup haiji Kwa Kila mtu au Nchi,ndio Nyota alikuja nayo hiyo bwana Zuma
 

Ifike wakati iwe ni aibu kwa wanasiasa wa Tanzania kujisifia au kusifiwa kwamba tuna maendeleo ya michezo pindi tu timu za mpira wa miguu pekee zinapopenya kwenye mashindano ya Afrika n.k...

Hivi, michezo katika nchi ya Tanzania ni mpira wa miguu pekee?

Juzi juzi tu hapa yametoka kumalizika mashindano ya riadha ya dunia (haya ni mashindano yenye jukwaa sawa na lile la FIFA World Cup kwa mpira wa miguu), lakini Tanzania iliwakilishwa na mwanariadha mmoja pekee wa marathoni ambaye naye hakuweza kuambulia chochote. Sababu ya uwakilishi hafifu ilikuwa ni ukata wa fedha.

Sasa kama kweli hawa wanasiasa wanaotumia mgongo wa mafanikio ya Simba, Yanga na timu za Taifa kuwa ni mafanikio ya nchi kimichezo, mbona hawabebi lawama za kufanya vubaya kwenye michezo mingineyo?
 
Sijui ni kwa nini huwa mnapenda sana kutukuzana, na pia kupeana sifa za kijinga. Mkikosolewa kidogo tu, mnaanza kuwasumbua wakosoaji wenu.

Nyinyi ni watu wa hovyo sana
Kosa ila usitukane,nani anaekosoa anasumbuliwa? Punguza wivu we Babu umri unakutupa
 
Aibu Iko wapi hapa 👇,wewe na huyu aliyeahidi pesa yupo ni WA maana?

View: https://www.instagram.com/reel/Cw6DQdcK9ad/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Naona umeandika kama mtu asiyejua mafaniko ya muda mrefu kwenye michezo hujengwa kwenye nini...

Kwa hiyo wewe unaamini hiyo mil 500 ndio sababu ya timu kupenya AFCON sio?
Chachu plus mazingira mazuri ya biashara na michezo maana michezo ni biashara
 
Kwakweli nyota yake kwenye michezo ni njema sana...Mh. Rais Kwa hili apewe maua yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…