Kufuzu kwa Taifa Stars AFCON ni Unabii mwingine wa Ushindi wa Rais Samia Mwaka 2025

Unabii wa kweli ni kwamba sa100 hana mda mrefu, ya kwanza rais alikufa, ya pili rais kafa na ya tatu......
 
Mbona kama unaumia tatizo ni nini ndugu?

Akisifiwa Rais Samia Kwa mazuri wanaomsifia ni machawa ila akisifiwa Mbowe na Lisu wanaomsifia ni Wazalendo 😁😁🀣🀣

Mkuu wahi Mirembe Huduma ni Bure Afya Yako ya akili inatia shaka.
Pumbavu!
 
Unapaswa uwaze maendeleo kamili yanawafikiaje wananchi wahitaji leo hii badala ya kuwaza uchaguzi.Unataka kutueleza huko CCM mnaishi ili mfanye uchaguzi tu!?
Michezo ni sehemu ya hayo maendelea ambayo yanachapwa Kila mahala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…